Detalls del llibre
Siwachi Kusema: Uhuru U Kifungoni ni diwani inayopaza sauti kali dhidi ya dhuluma inayotokea mbele ya macho ya mshairi - iwe kwenye uwanja wa siasa, jamii au hata katika kiwango cha binafsi ? na yakamuathiri au kuacha alama kwa mazingira yaliyomzunguka. Mohammed Khelef Ghassani ameuchagua ushairi kuwa moja ya njia ambazo anaweza kuyasema na kuyawasilisha hao na mengine kama hayo na bado akabakia kuwa yeye mwenyewe.
- ISBN13 9781534660168
- ISBN10 153466016X
- Pàgines 84
- Any Edició 2016
- Fecha de publicación 12/06/2016
Ressenyes i valoracions
Siwachi Kusema: Diwani ya Mohammed Ghassani
- De
- |
- CreateSpace (2016)
- 9781534660168



